Qurani Tukufu/Al-A'la/87:1/SwahiliSwahiliAl-A'la · 87:1سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَىTafsiriTakasa Jina la Mola wako Aliyetukuka na kuepukana na mshirika na kila sifa pungufu kwa namna inayonasibiana na utukufu Wake na utakatifu Wake.87:1SwahiliAya iliyotanguliaAya inayofuataTafsir kwa lugha yakoAl-Mukhtasar (English)Tafsir kwa KiarabuTafsir As-Sa'diTafsir Ibn KathirAl-MuyassarAl-MukhtasarTafsiriSwahiliSikilizaMaher Al-MuaiqlyMishary Al-AfasyAbdulbasit AbdussamadWasomaji wote