Qurani Tukufu/Al-Mu'minun/23:36/SwahiliSwahiliAl-Mu'minun · 23:36۞ هَيْهَاتَ هَيْهَاتَ لِمَا تُوعَدُونَTafsiri«Kwa hakika, liko mbali sana hilo mnaloahidiwa, enyi watu, la kwamba nyinyi mtatolewa makaburini mwenu mkiwa hai baada ya kufa kwenu.23:36SwahiliAya iliyotanguliaAya inayofuataTafsir kwa lugha yakoAl-Mukhtasar (English)Tafsir kwa KiarabuTafsir As-Sa'diTafsir Ibn KathirAl-MuyassarAl-MukhtasarTafsiriSwahiliSikilizaMaher Al-MuaiqlyMishary Al-AfasyAbdulbasit AbdussamadWasomaji wote