Sura 33 · Juzuu 21

Al-Ahzab · 33:14

وَلَوْ دُخِلَتْ عَلَيْهِمْ مِنْ أَقْطَارِهَا ثُمَّ سُئِلُوا الْفِتْنَةَ لَآتَوْهَا وَمَا تَلَبَّثُوا بِهَا إِلَّا يَسِيرًا

Na lau jeshi la makundi lingaliingia Madina kupitia pambizoni mwake, kisha wakatakwa hawa wanafiki wamshirikishe Mwenyezi Mungu na warudi kutoka kwenye Uislamu, wangalilikubali hilo kwa haraka, na hawangalichelewesha kurudi kwenye ushirikina isipokuwa kwa muda mchache.

Tafsir

Hakuna tafsir katika lugha yako. Hii ni Al-Mukhtasar kwa Kiingereza.

14. And if the enemy were to enter upon them in Madina from all its sides and ask them to return to disbelieving and associating partners with Allah, they would grant their enemy this, and they would not lag behind from becoming renegade and turning back towards disbelief except a little.

Fungua katika kisoma - Soma sura nzima

Al-Ahzab 33:14 · Tlawati