At-Takathur

سورة التكاثر

Sura 102 · Madani · 8 aya

102:1Juzuu 30 · uk. 600

أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ1

Kumewashughulisha kujifahiri kwa mali na watoto mkawacha kumtii Mwenyezi Mungu
102:2Juzuu 30 · uk. 600

حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ2

Kujishughulisha kwenu na hilo kumeendelea mpaka mkawa makaburini na mkazikwa humo.
102:3Juzuu 30 · uk. 600

كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ3

Siyo namna hii inatakiwa iwapumbaze kushindana kwa wingi wa mali. Itawadhihirikia kuwa Nyumba ya Akhera ni bora kwenu.
102:4Juzuu 30 · uk. 600

ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ4

Kisha tahadharini mtajua mwisho mbaya wa kutojishughulisha na Akhera.
102:5Juzuu 30 · uk. 600

كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ5

Siyo namna hii inatakiwa iwashughulishe kushindana kwa wingi wa mali.Lau mnajua kikweli, mngalirudi nyuma na mngaliangusiliza kuokoa nafsi zenu kutoka kwenye maangamivu.
102:6Juzuu 30 · uk. 600

لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ6

Mtauona Moto!
102:7Juzuu 30 · uk. 600

ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ7

Kisha mtauona bila shaka!
102:8Juzuu 30 · uk. 600

ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ8

Kisha mtaulizwa kuhusu kila aina ya starehe mliyokuwa nayo.

Cheza kutoka mwanzo wa sura

Muhammad Jibreel - At-Takathur · Tlawati