Al-Kafirun

سورة الكافرون

Sura 109 · Makki · 6 aya

109:1 · Al-KafirunJuzuu 30 · uk. 603

قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ1

Sema, ewe Mtume, kuwaambia waliokufuru Mwenyezi Mungu na Mtume wake: «Enyi wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu!
109:2Juzuu 30 · uk. 603

لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ2

«Mimi siabudu mnavyoviabudu miongoni mwa masanamu na waungu wa urongo.
109:3Juzuu 30 · uk. 603

وَلَا أَنْتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ3

«Wala nyinyi si wenye kuabudu Mola Mmoja ninayemuabudu Ambaye ndiye Anayestahiki kuabudiwa.
109:4Juzuu 30 · uk. 603

وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَا عَبَدْتُمْ4

«Wala mimi si mwenye kuabudu mnavyoviabudu miongoni mwa masanamu na waungu wa urongo.
109:5Juzuu 30 · uk. 603

وَلَا أَنْتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ5

«Wala nyinyi si wenye kuabudu mbeleni ninayemuabudu.» Aya hii imeteremka juu ya watu makhsusi miongoni mwa washirikina ambao Mwenyezi Mungu Alijua kuwa hawataamini kabisa.
109:6Juzuu 30 · uk. 603

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ6

«Nyinyi mna dini yenu mnayoiamini na mimi nina Dini yangu ambayo sitaki nyingine.»

Cheza kutoka mwanzo wa sura

Muhammad Ayyub - Al-Kafirun · Tlawati