Al-Asr

سورة العصر

Sura 103 · Makki · 3 aya

103:1 · Al-AsrJuzuu 30 · uk. 601

وَالْعَصْرِ1

Mwenyezi Mungu Anaapa kwa zama
103:2Juzuu 30 · uk. 601

إِنَّ الْإِنْسَانَ لَفِي خُسْرٍ2

kwamba wanadamu wako kwenye maangamivu na upungufu. Haifai kwa mja kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, kwani kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina.
103:3Juzuu 30 · uk. 601

إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَتَوَاصَوْا بِالْحَقِّ وَتَوَاصَوْا بِالصَّبْرِ3

Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakafanya amali njema, wakausiana wao kwa wao kushikamana na haki, kufanya matendo ya kumtii Mwenyezi Mungu na kusubiri juu yake.

Cheza kutoka mwanzo wa sura