Al-Ikhlas

سورة الإخلاص

Sura 112 · Makki · 4 aya

112:1 · Al-IkhlasJuzuu 30 · uk. 604

قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ1

Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayo.
112:2Juzuu 30 · uk. 604

اللَّهُ الصَّمَدُ2

«Mwenyezi Mungu Ambaye Peke Yake Ndiye Mwenye kukusudiwa kwa kukidhi haja na matakwa.
112:3Juzuu 30 · uk. 604

لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ3

«Hana mwana wala mzazi wala mke.
112:4Juzuu 30 · uk. 604

وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ4

«Wala hakuna yoyote katika viumbe Vyake mwenye kufanana wala kushabihiyana na Yeye katika Majina Yake, Sifa Zake wala vitendo Vyake.»

Cheza kutoka mwanzo wa sura